MWANAUME ALIYEPANDA MNARA wa ELIZABETH na BENDERA ya PALESTINA ASHUKA BAADA ya MAZUNGUMZO MAREFU... Shughuli katika jiji la London zilisitishwa kwa muda baada ya mwanaume mmoja kupanda Mnara wa Elizabeth, unaohifadhi saa maarufu ya Big Ben, katika tukio lililoonekana kuwa maandamano. Mwanaume huyo, ambaye alikuwa peku, alikaa kwenye sehemu ya pembezoni mwa mnara huo kwa muda mrefu huku akivuta hisia za wakazi na watalii waliokuwa karibu. Vyombo vya usalama vililazimika kuzingira eneo hilo kwa tahadhari, na mazungumzo na wapatanishi yalianza mara moja ili kumshawishi ashuke salama. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx